HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 14, 2016

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDANI DIS WATEMBELEA KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI KUJIFUNZA

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita wa Shule ya Sekondari ya Dar es salaam Independent (DIS), wanaosomea masomo ya biashara ambao walitembelea kituo hicho ili kujifunza maswala mbali mbali yanayohusu uwekezaji. wengine pichani ni wafanyakazi wa kituo hicho.
Afisa Uhamasishaji na Uwekezaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Latifa Kigoda akifafanua jambo kwa baadhi ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita wa Shule ya Sekondari ya Dar es salaam Independent (DIS), wanaosomea masomo ya biashara ambao walitembelea kituo hicho ili kujifunza maswala mbali mbali yanayohusu uwekezaji.
 Meneja wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Pendo Gondwe akifafanua jambo kwa baadhi ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita wa Shule ya Sekondari ya Dar es salaam Independent (DIS), wanaosomea masomo ya biashara ambao walitembelea kituo hicho ili kujifunza maswala mbali mbali yanayohusu uwekezaji.
Meneja wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Pendo Gondwe akiwaonyesha wanafunzi hao, moja ya vyeti vinayotolewa na TIC kwa muwekezaji anayekamilisha taratibu zote za kuwekeza nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad