Mtaa Kwa Mtaa Blog

MIKOA 24 YATHIBITISHA USHIRIKI WA LIGI YA TAIFA CUP YA MPIRA WA KIKAPU

Hadi sasa Mikoa iliyo thibithisha kushiriki shindano la  Taifa Cup mpira wa kikapu katika jiji la  Arusha kuanzia tarehe 1-10 December 2016. 
1. Arusha timu 3
2. Manyara timu 1
3. Tanga timu 2
4. Kilimanjaro timu 1
5. Singida timu 1
6. Dodoma timu 2
7. Shinyanga Timu2
8. Mwanza timu 2
9. Mara timu 1
10. Kigoma timu1
11. Katavi timu 1
12. Rukwa timu 1
13. Iringa timu 2
14. Mbeya timu 2
15. Lindi timu 2
16. Mtwara timu 1
17. Pwani timu 2
18. Dae es salaamm timu 2
19. Unguja timu 2
20. Pemba timu 1
21. Morogoro timu 2
22.Kagera timu 1
23.Tabora timu 1
24.Geita  timu 1
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget