Mtaa Kwa Mtaa Blog

HONGERA BINTI YETU IVONA JOHN BUKUKU, MTANGULIZE MUNGU MBELE, BADO UNAYO SAFARI NDEFU YA MAFANIKIO

Mmiliki wa Mtandao wa kijamii wa Fullshangweblog, John Bukuku na Mamsapu wake kushoto wakimpongeza binti yao Ivone John Bukuku mara baada ya kulamba nondoz yake ya mafunzo ya awali ngazi ya cheti kwenye chuo cha Saint Grory College Of Health and Allied Sciences jijini Dar es salaam katika ndoto yake ya Uuguzi kabla ya kuendelea na hatua nyingine ya mafunzo hayo.

Ivone akipozi kwa picha
Baba na Mwana wakipozi kwa picha.
 
Diana John Bukuku wa pili kutoka kulia yeye amempongeza mkubwa wake kwa hatua hiyo japo walipongezana kwa njia ya simu tu akiwa shuleni.
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget