Mtaa Kwa Mtaa Blog

BALOZI WA INDIA NCHINI ATEMBELEA KITUO CHA UWEKEZAJI LEO

Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya (kushoto) akiwa katika Mazungumzo na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari (kulia) wakati alipotembelea kituo hicho kuzungumzia fursa za uwekezaji nchini, leo Novemba 8, 2016.
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari (kulia) akimuelezea jambo, Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya (katikati) wakati alipotembelea Kitengo cha huduma za mahala pamoja (One Stop Centre Services) katika Kituo hicho cha Uwekezaji, Jijini Dar es salaam leo, Novemba 8, 2016, ambapo alijioneana namna huduma mbalimbali zinavyotolewa na kituo hicho. Kushoto ni Mkuu wa Mahusiano wa Kituo hicho, Pendo Gondwe.
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari akimuonyesha Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya moja ya vyeti vya uwekezaji vinavyotolea pindi muwekezaji anapokuwa amekalisha taratibu zote.
Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya akizungumza jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari.
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari akiagana na Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya mara baada ya mazungumzo yao.
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget