Mtaa Kwa Mtaa Blog

WAZIRI MPANGO AZINDUA MAONESHO SEKTA YA FEDHA NCHINI

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango akizungumza katika ufunguzi wa maonyesho ya sekta ya Fedha, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani city,  jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza katika ufunguzi wa maonyesho ya sekta ya Fedha, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani city,  jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB ,James Metairon akizungumza katika ufunguzi wa maonyesho ya sekta ya Fedha, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani city,  jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (katikati) kwa kushirikiana na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Metairon (kulia) wakikata utepe wakati wa ufunguzi wa kuzindua maonesho ya sekta ya Fedha, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani city,  jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango akipata maelezo kwa Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Metairon leo katika maonesho ya sekta ya Fedha Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii).

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget