Mtaa Kwa Mtaa Blog

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAADHIMISHA MWEZI WA SARATANI YA MATITI DUNIANI KWA VITENDO

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakipewa ushauri na Mtaalam wa magonjwa ya Saratani ya matiti wa hospitali ya AAR Dkt. Zacharia Kabona,(kulia) wakati wa zoezi la upimaji wa ugonjwa huo kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo uliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City leo jijinji Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani ya matiti duniani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam leo wakiwa kwenye semina maalumu ya upimaji wa ugonjwa wa Saratani ya Matiti ,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani ya matiti duniani.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania , wakimsikiliza kwa makini Meneja wa mauzo Happiness Shuma alipokuwa akitoa mada kuhusiana na elimu ya ugonjwa wa saratani ya matiti, wakati wa zoezi la kuwapima wafanyakazi wa kampuni hiyo lililofanyika makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani city jijini Dar es Salaam,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani duniani.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (kushoto) akipewa ushauri na Mtaalam wa magonjwa ya Saratani ya matiti wa hospitali ya AAR Dkt. Zacharia Kabona wakati wa zoezi la kuwapima ugonjwa huo wafanyakazi wa kampuni hiyo uliofanyika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City leo jijinji Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwezi wa saratani ya matiti duniani.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget