Naibu
katibu mkuu wa Klabu ya gofu ya jeshi ya Lugalo Kanali Rajabu
Mwenyumbu akizungumza na wachezaji wa gofu wa klabu hiyo ya jijini
Dar es salaam wanao tarajiwa kushiriki katika mashindano ya wazi
yanayotarajia kufanyika mwisho wa Wiki hii Jijini Arusha.
Naibu Katibu Mkuu wa klabu ya gofu ya Lugalo ya Jijini Dar es Salaam Kanali Rajabu Mwenyumbu akiangalia Mazoezi ya mwisho ya timu ya klabu hiyo ambayo inatarajia kushiriki katika mashindano ya wazi yanayotarajia kufanyika Mwishoni mwa Wiki Hii Jijini Arusha.
Naibu katibu Mkuu wa Klabu ya Gofu ya Jeshi ya Lugalo Kanali Rajabu Mwenyumbu akisalimiana na wachezaji wa gofu wa timu hiyo wanao tarajiwa kushiriki katika mashindano ya wazi Jijini Arusha mwisho wa Wiki hii.
PICHA NA LUTENI SELEMANI SEMUNYU)
No comments:
Post a Comment