Mtendaji Mkuu wa TEMESA Dkt.
Mussa Mgwatu (kulia) akisikiliza taarifa ya Meneja wa TEMESA Geita Mhandisi
Gilly Chacha (Kushoto) alipotembelea kituoni hapo.
Mtendaji Mkuu wa TEMESA Dkt.
Mussa Mgwatu (kulia) akikagua sehemu ya kutengenezea magari katika karakana ya
TEMESA Geita alipotembelea kituoni hapo (aliyevaa
miwani) ni Meneja wa TEMESA Geita Mhandisi Gilly Chacha
Watumishi
wa karakana ya TEMESA Geita wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu
(hayupo pichani) alipotembelea kituoni hapo.
Picha zote na Theresia mwami TEMESA Geita.
No comments:
Post a Comment