HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 19, 2016

Mfuko wa GEPF wafanya bonanza maalum la kumuenzi baba wa taifa mwalimu nyerere na wadau wake jijini mwanza

 Mene wa Benki ya NMB Mkoani Mwanza, Abraham Augustino akitoa hotuba ya ufunguzi katika bonanza maalum la kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere lililoandaliwa na Mfuko wa Mafao ya Kustaafu - GEPF, lililofanyika katika viwanja vya DIT jijini mwanza
meza kuu wakifuatilia kwa makini michezo mbalimbali iliyokuwa ikiendelea katika bonanza hilo, huku vikombe vikiwasubiri washindi.
Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu - GEPF, Aloyce Ntukamazina (mwenye kofia kulia) akiwa tayati kwa kuwaongoza washiriki wa shindano kukimbiza kuku, katika bonanza maalum la kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere lililoandaliwa na Mfuko huo, jijini Mwanza hivi karibuni.
Washiriki wa Mchezo wa kuvuta Kamba wakichuana vikali, huku kila timu ikionyesha uwezo wake.
Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu - GEPF, Aloyce Ntukamazina akizungumza jambo kwa washiriki, katika bonanza maalum la kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere lililoandaliwa na Mfuko huo, jijini Mwanza hivi karibuni.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad