Mtaa Kwa Mtaa Blog

MAONESHO YA KATUNI NA VIBONZO YAFUNGULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM

Mgeni Maalum, Masoud Kipanya akiwa na Rais wa Chama cha Wasanii na Wachongaji Tanzania (CHAWASAWATA), Bw. Adrian Nyangamalle, Mwenyekiti wa Chama cha Wachoraji Katuni Tanzania, Nathan Mpangala wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa maonesho ya katuni na vibonzo jana jioni katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.

Mgeni Maalum,Masoud Kipanya akizungumza na wadau mbalimbali (hawapo pichani) katika hafla ya uzinduzi wa maonesho ya katuni na vibonzo jana jioni katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Wachoraji Katuni Tanzania,Nathan Mpangala akizungumza juu ya hafla ya uzinduzi wa maonesho ya katuni na vibonzo jana jioni katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam Oktoba 20-2016.

Baadhi ya Wadau wakiafuatilia yaliyokuwa yakijiri ukumbini humo.
Ankal pichani Kati nae alikuwepo kushuhudia ufunguzi rasmi wa maonesho ya katuni na vibonzo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaa,Pichani kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wachoraji Katuni Tanzania,Nathan Mpangalaa akimueleza jambo Ankal Muhidin Michuzi kuhusiana na ufunguzi huo

Wadau mbalimbali wa Katuni wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi rasmi wa maonesho ya katuni na vibonzo jana jioni katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam OKTOBA 20-2016.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget