Siku kadhaa baada ya Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm kuandikia uongozi wa klabu barua ya kujiuzulu kuendelea kuifundisha klabu hiyo, hatimaye uongozi wa Yanga umuandikia barua ya kumuomba kuendelea kuifundisha klabu hiyo.
Friday, October 28, 2016

HANS VAN DER PLUIJM AREJEA KUIFUNDISHA YANGA
Tags
# HABARI MICHEZO
# MICHEZO
MICHEZO
Labels:
HABARI MICHEZO,
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment