Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akiwa ameshika moja ya samaki aina ya pweza
wakati alipotembelea kiwanda cha samaki cha TANIPESCA eneo la Kilindoni
wilayani Mafia Septemba 24, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akitazama samaki aina ya pweza wakati
alipotembelea kiwanda cha samaki cha TANIPESCA eneo la Kilindoni
wilayani Mafia Septemba 24, 2016.
No comments:
Post a Comment