Watoto wakiokota makopo ya maji ya kunywa yaliyotumika ili kwenda kupima na kuyauza. Biashara hii imekuwa maarufu sana siku hizi hapa jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment