Meneja
wa Bidhaa na Masoko wa Mtandao wa JUMIA, Heriath Mgongolwa akionesha
Codes za punguzo la bei kwa watumiaji wa mtandao wa JUMIA unaounganisha
wateja na wauzaji pamoja kwaajili ya kufanya biashara ya mtandao ambapo
mtumiaji wa Mtandao huo atanunua bidhaa kwenye mtandao na kufikishiwa
bidhaa hiyo ndani ya siku tatu. Kulia ni Meneja Mkazi wa Mtandao wa JUMIA, Lauritz Elmshauser.
Meneja Mkazi wa Mtandao wa JUMIA, Lauritz Elmshauser akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
wakati wa kuzindua punguzo la bei kwa watumiaji wa mtandao wa watakao nunua bidhaa kupitia JUMIAAPP iliyo kwa kutumia simu zao za mkononi. Watembeleaji wa Mtandao wa JUMIA wenye JUMIAAPP watapunguziwa shilingi 5,000 kwa kila bidhaa atakayokuwa amechangua kununua ila bidhaa hiyo iwe kuanzia kiasi cha shilingi 20,000.
Elmshauser amesema watumiajia wa mtandao wao wa JUMIA wenye JUMIAAPP watatakiwa kujaza codes za mtandao huo ambazo ni JUMIAAPP na kujipatia punguzo la bei kwa bidhaa watakazokuwa wamenunua kwa kutumia mtandao wa JUMIA.
Kulia ni Meneja Mkazi wa Mtandao wa JUMIA, Radoslam Mikolaj na Kushoto ni Meneja wa Bidhaa na Masoko wa Mtandao wa JUMIA, Heriath Mgongolwa.
Amesema kuwa mtandao huo wa JUIMIA umekuwa ukiwasaidia sana watu kwa kutoa ajira pamoja na wale wasio kuwa na muda kuwapunguzia usumbufu wa kubeba mizigo kwani mteja anafikishiwa bidhaa yake mahali alipo.
No comments:
Post a Comment