Mtaa Kwa Mtaa Blog

KAMA ULIPITWA NA SHEREHE YA NDOA YA MCHEZA FILAMU SHAMSHA FORD NIMEKUWEKEA HAPA FULL VIDEO

Muigizaji maarufu wa Filamu za Bongo Movie nchini, Shamsa Ford Ijumaa Septemba 2, 2016 alifunga ndoa na Mfanyabiashara maarufu wa Maduka ya nguo jijini Dar, Rashidi Said a.k.a Chidi Mapenzi, Sherehe ya ndoa yao hiyo ilifanyika nyumbani kwa wazazi wa Shamsa Sinza Afrikasana jijini Dar es Salaam.

Awali, Shamsa alidumu katika penzi na Dickson Matoke ‘Dick’ na kufanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume aitwaye Terry na kisha kufunga ndoa ya kimila nyumbani kwa mwanaume huyo, Tarime mkoani Mara ila baadaye waliachana na kuangukia kwa staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ambaye penzi lao halikudumu, na sasa Shamsa Ford ni mke halali wa Rashidi Said a.k.a Chidi Mapenzi.
Shamsa Ford na Mumewe Rashidi Said a.k.a Chidi Mapenzi.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget