HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 1, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AVUTIWA NA TIKITI MAJI KATIKA MAONYESHO YA KILIMO NANENANE MKOANI MOROGORO LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakipokezana tikiti maji wakiwa kwenye meza ya Bwana Diocresty Theonesy kwenye banda la Wilaya ya Temeke katika Maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agost 1, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizundua Banda la Maonyesho la wilaya ya Temeke kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agosti 1, 2016. Kushoto ni mkewe Mary.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva wakati alipotembelea Banda la Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Monyesho ya Wakulima Nane mjini Morogoro Agosti 1, 2016, Kushoto ni mkewe Mary.

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary (kulia kwake)wakitazama kilimo cha mbogamboga kwa mtindo wa kilimo kichuguu wakati walipotembelea banda la Chuo Kikuucha Kilimo cha Sokoine (SUA) kwenye maonyeshoya Nanenane mjini Morogoro Agosti 1, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama viatu vilivyotengenezwa katika gereza la Karanga mkoani Kilimanjaro wakati alipotembelea banda la Magereza katika maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoroo Agosti 1, 2016, kulia ni Mratibu wa Magereza wa maonyesho hayo na Mkuu wa Gereza la Mtego wa Simba, Oman Msekwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (Kulia kwake) wakatazama bwawa la samaki na banda la kufugia bata wakati alipotembelea banda la Magereza katika monyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agosti 1, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakitazama mboga zilizokaushwa na mtambo wa kukaushia mboga hizo katika katika maonyesho ya wakulima Nanene nane mjini Morogoro Agosti 1, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizundua Banda la Maonyesho la wilaya ya Temeke kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agosti 1, 2016. Kushoto ni mkewe Mary
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama matikiti maji wakati walipotembelea meza ya Bwana Diocresty Theonesy kwenye banda la wilaya ya Temeke katika maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agost 1, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakikagua mtama uliopandwa kwenye eneo la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agost 1, 2016.( PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad