Viwanja hivi vipo Kimbiji, Kata ya Pemba Mnazi eneo la Tundwi Centre. Vimepimwa na kupangika vizuri kama vinavyoonekana kwenye picha. Viko umbali wa Kilometa mbili kutoka barabara kuu na kunafikika kwa urahisi.
Kwa Mawasilino piga namba.
0717 138684 au 0657 867264


No comments:
Post a Comment