HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 14, 2016

TANZIA: Mzee Aboud Jumbe Mwinyi afariki Dunia leo

Taarifa iliyotufikia mchana huu, inaeleza kuwa Aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar (1972-1984), Mzee Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mzee Aboud Jumbe amefikwa na mauti hayo, nyumbani kwake Kigamboni, Jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri wa Muungano amemtumia Salaam za rambirambi Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kwa msiba huu mzito

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad