Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka, akizungumza katika
Tamasha la maadili kwa vijana lililoandaliwa na Tumaini Media kupitia
Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki lililofanyika Katika
uwanja wa Uhuru mwishoni mwa wiki.
Aliyekuwa mgeni wa heshima katika Tamasha la Maadili, Balozi Paul Rupia, akizungumza katika tamasha hilo lililoandaliwa na Tumaini Media kupitia Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki lililofanyika Katika uwanja wa Uhuru mwishoni mwa wiki.

Kwaya
ya Mtakatifu Kizito wakitumbuizaatika Tamasha la maadili kwa vijana
lililoandaliwa na Tumaini Media kupitia Jimbo Kuu la Dar es Salaam la
Kanisa Katoliki lililofanyika Katika uwanja wa Uhuru mwishoni mwa wiki.

Kwaya kutoka Bukoba.

Kwaya ya Karesmatiki

Mwanakwaya toka Kenya.
No comments:
Post a Comment