HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 16, 2016

Msikilize hapa Mtanzania Hilal Hemed Hilal (Live) kutoka Brazil

Photo Credits: MissiePopular.com
Katika kipindi cha JUKWAA LANGU (Jumatatu Agosti 15 2016) Mubelwa Bandio alifanya mahojiano ya moja kwa moja na Hilal Hemed Hilal. Nahodha wa Tanzania katika mchezo wa kuogelea kwenye mashindano ya Olimpiki huko Rio de Janeiro nchini Brazil.
Alikuwa mkarimu kujiunga nasi kwa njia ya Skype sambamba na kocha wake Alexander Mwaipasi
Karibu uungane nasi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad