Mabalozi
wa Airtel kupitia mradi wa mafunzo ya stadi za ufundi kupitia mtandao
wa simu ya mkononi yajulikanayo kama “VSOMO” yaani VETA SOMO, wakitoa
elimu ya mafunzo hayo kwa wananchi jijini Dar Es Salaam.
Abu Ally,Balozi wa Airtel kupitia mradi wa mafunzo ya stadi za ufundi kupitia mtandao wa simu ya mkononi yajulikanayo kama “VSOMO” yaani VETA SOMO, akitoa elimu ya mafunzo hayo kwa wananchi jijini Dar Es Salaam.
Fatuma Abdallah ,Balozi wa Airtel kupitia mradi wa mafunzo ya stadi za ufundi kupitia mtandao wa simu ya mkononi yajulikanayo kama “VSOMO” yaani VETA SOMO, akitoa elimu ya mafunzo hayo kwa wananchi jijini Dar Es Salaam.
No comments:
Post a Comment