Hili moja ya matukio ya kustaajabisha kama si kushangaza, iliyokea pale Mbuzi huyo alipokuwa anakula mabaki ya mahindi yaliyokuwa yakitwangwa kwenye kinu hicho na alipoingiza kichwa ndani ya kinu hicho pembe zikanasa na hapo ndipo kimbembe kilipoanzia mpaka alipotokea Mzee huyu na kuanza kuhangaika nae namna ya kumchomoa.
Mzee akiendelea na mbinu mbali mbali za kumchomoa mbuzi huyo.




No comments:
Post a Comment