Msanii wa vichekesho nchini, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji akiwa na mkewe mtarajiwa Monica wakati wa sherehe ya kuagwa kwa binti huyo (SendOff) iliyofanyika jana Agosti 4, 2016 jijini Dar es Salaam.
Masanja Mkandamizaji akipipigiwa sop sop moka zake na mkewe mtarajiwa, Bi. Monica.
Masanja Mkandamizaji akipipigiwa sop sop moka zake na mkewe mtarajiwa, Bi. Monica.

No comments:
Post a Comment