Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia sekta ya
Mawasiliano Dkt. Maria Sasabo akitoa maelezo ya kituo mahiri cha kutunza kumbukumbu
(internet Data Centre) kwa Makatibu Wakuu hawapo pichani walipotembelea kituo hicho
kilichopo eneo la Kijitonyama Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Dkt. Yamungu Kayandabila katikati akitoa maoni yake
kuhusu kituo mahiri cha kutunza kumbukumbu “ internet Data Centre”, (wa kwanza kulia) ni
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya nje na Afrika Mashariki Balozi Ramadhani Mwinyi na
(wa kwanza kushoto) ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bibi Florence Mwanri
walipokitembelea kituo hicho eneo la Kijitonyama Dar es salaam.

No comments:
Post a Comment