HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 7, 2016

LOWASSA ATEMBELEA MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI MOROGORO LEO

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa akiwa katika moja ya Mabanda wakati alipotembelea maonesho ya Kilimo ya Nanenane mkoani Morogoro, kuangalia, kusikiliza na kushauriana na Wakulima mbalimbali juu ya maswala kilimo.  
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa akiwa katika Banda la Mfuko wa Wastaafu wa GEPF, wakati alipotembelea maonesho ya Kilimo ya Nanenane mkoani Morogoro leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad