HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 12, 2016

KONGAMANO LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA) LAFANYIKA KARIMJEE JIJINI DAR LEO

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Profesa Mesigwa Baregu (kulia), akizungumza katika kongamano la Umoja wa Vijana wa Chadema (Bavicha), ikiwa ni maadhimisho ya siku ya vijana duniani lililofanyika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo mchana. Kushoto ni Mtoa mada katika kongamano hilo, David Kafulila.
Mtoa mada katika kongamano hilo, David Kafulila akichangia mambo mbalimbali.
Meza kuu katika kongamano hilo.
Mkutano ukiendelea.
Mada zikiendelea kutolewa.
Wanahabari wakichukua taarifa mbalimbali.
Usikivu ukiwa umetawala katika ukumbi huo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad