HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 13, 2016

KISHALIA HAPA MCHANA KWEUPLEEEEE.....

 Katika pita pita za Mtaa kwa Mtaa, nililinasa tukio hilo la Lori la Tanesco kugongana na Gari ndogo aina ya Toyota Allion, maeneo ya Upanga jijini Dar es salaam. na hapo ni mazungumzo ya kutaka kuelewana ni namna gani mambo yatawekwa sawa ili kila mmoja aendelee na safari yake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad