Rahma Moyo Mwanafunzi wa mafunzo kwa vitendo kutoka chuo cha Mt. Agustine Mwanza anayejifunza katika Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi, akibandika stika kwenye gari la mmoja wa wakazi wa Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya uhamasishaji kulipa kodi ya pango la ardhi itakayoendelea nchi nzima. Kampeni hiyo ilizinduliwa katika uwanja wa Mbagala Zakhem jana.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo
ya Makazi, Mboza Lwandiko akiwagawia vipeperushi wakazi wa Dar es
Salaam jana, katika uwanja wa Zakhem Mbagala, wakati wa uzinduzi wa
Kampeni ya uhamasishaji kulipa kodi ya pango la ardhi itakayoendelea
nchi nzima.
Rahma Moyo Mwanafunzi wa mafunzo kwa vitendo kutoka chuo cha Mt.
Agustine Mwanza anayejifunza katika Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya
Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi, akimpa vipeperushi mfanyabiashara
wa Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya uhamasishaji kulipa
kodi ya pango la ardhi itakayoendelea nchi nzima. Kampeni hiyo
ilizinduliwa katika uwanja wa Mbagala Zakhem leo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo
ya Makazi, Mboza Lwandiko akiwagawia vipeperushi wakazi wa Dar es
Salaam jana, katika uwanja wa Zakhem Mbagala, wakati wa uzinduzi wa
Kampeni ya uhamasishaji kulipa kodi ya pango la ardhi itakayoendelea
nchi nzima. (Imeandaliwa Okanda Blogspot)
No comments:
Post a Comment