HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 16, 2016

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA PILIKA PILIKA KUTOKA STENDI KUU NANENANE JIJINI MBEYA LEO...

Mdau Akiwa amepozz kwenye kiweka taka kilichopo katika stendi hiyo ya nanenane jijini mbeya.
Biashara ya nkababu na viazi kutoka kwa mtoa huduma  ikiendelea
mzigo ukipelekwa mahari husika
Pilika pilika zikiendeleaa.
Masela nao kama kawaida yao maeneo ya kujidai...
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad