Mkurugeni Mkuu wa Kampuni ya Engen Petroleum Tanzania Lt, Paul Muhato akizungumza wakati wa hafla ya kusherehekea kutimia Miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Kampuni hiyo, iliyofanyika katika Mgahawa wa Rodizio, Mikocheni Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugeni Mkuu wa Kampuni ya Engen Petroleum Tanzania Lt, Paul Muhato
akizungumza na baadhi ya Wafanyakazi Engen Tanzania wakati wa hafla ya kusherehekea kutimia Miaka 20 tangu
kuanzishwa kwa Kampuni hiyo, iliyofanyika katika Mgahawa wa Rodizio,
Mikocheni Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Engen Petroleum Tanzania, wakimsikiliza Mkurugeni Mkuu wao, wakati wa hafla ya kusherehekea kutimia Miaka 20 tangu
kuanzishwa kwa Kampuni hiyo, iliyofanyika katika Mgahawa wa Rodizio,
Mikocheni Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugeni Mkuu wa Kampuni ya Engen Petroleum Tanzania, Paul Muhato (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni hiyo, wakati wa hafla ya kusherehekea kutimia Miaka 20 tangu
kuanzishwa kwa Kampuni hiyo, iliyofanyika katika Mgahawa wa Rodizio,
Mikocheni Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni hiyo wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:
Post a Comment