HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 1, 2016

DUUHH.... KWA HALI HII, HUKU MBAGALA NAKO KUNAHITAJI MWENDO KASI

Katika pitapita za Kamera ya Mtaa kwa Mtaa, si ndio tukaibuka pale kituo cha Kizuiani leo na kukutana na hili seke seke la abiria kugombea Daladala lililokuwa likielekea Kawe, huku mlangoni kukiwa ni patashika nguo kuchanika ili mradi tu mtu awahi siti basini na wengine wakipitia madirishani. Kiukweli kuna haja ya kuanzishwa Mabasi ya Mwendo kasi kwenye Barabara hii. Maana hili mbilinge ni balaa....

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad