HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 11, 2016

AIBUKA BARABARANI NA BANGO KUTAFUTA KAZI

Kijana wa Kikenya, alietambulika kwa jina Patrick Muthomi akiwa katika moja ya barabara za jiji la Nairobi nchini Kenya na bango lake, ikiwa ni mbinu yake aliyoona inaweza kufaa kumpatia kazi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad