Kamera Yetu ilimnasa Mjasiliamali huyu Pichani Jina lake Kapuni akiwa ameketi Juu ya Ofisi yake kama ambavyo aonekanavyo katika Taswira hapo Juu, Lakini cha kushangaza na cha kustaajabisha zaidi ni ilee Miguu yake ambayo ipo Sanjari kabisaa na Matunda anayo uza kwa Wateja wake, Lakini hili sio Jambo Geni Machoni kwa Wateja wake ni Jambo la kawaida kabisa na endapo utamshangaa kwa kuona Hali hii yeye pia atakushangaa Wewe kuwa Mgeni wa Jambo hili.
PICHA NA MR.PENGO MMG


No comments:
Post a Comment