HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 20, 2016

USALAMA BARBARANI WAJADILIWA NA WADAU MBALIMBALI JIJINI DAR LEO.

Mratibu Msaidizi wa Polisi, Deus Sokoni kutoka kikosi cha usalama barabarani akitoa  ufafanuzi juu ya taarifa za ajali nchini kwa wanahabari na wadau mbalimbali wa Usalama barabarani leo jijini Dar es salaam.
Mdau wa Mambo ya Usalama barabarani, Carmen Long akichangia mada juu ya hali ya Usalama wa barabarani Kimataifa katika mkutano wa wadau wa usalama barabarani uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
 Baadhi ya wadau wa usalama barabara pamoja na wanahabari wakiwa katika mkutano huo jijini Dar es Salaam leo.
Mratibu wa Mradi wa usalama barabarani, Marry Kessi akielezea jinsi Mradi wa usalama barabarani unavoendelea Nchini katika mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad