HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 27, 2016

SKAUTI TANZANIA KUELEKEA NCHINI KOREA KUSINI


Kaimu Mkurugenzi wa Masoko Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Philip Chitaunga (kushoto) akikabidhi nyaraka za kutangaza utalii pamoja na bendera ya Taifa Skauti Mkuu Tanzania, Mwantumu Mahiza ambaye ataongoza ujumbe wa chama cha skauti cha Tanzania unaoelekea huko nchini Korea ya Kusini. Kulia ni Kamishina Mkuu wa Skauti, Abdulkarim Shah.
Kamishina Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania, Abdulkarim Shah akizungumza katika hafla ya kukabidhi nyaraka za kutagaza Utalii kwa ujumbe wa skauti utakaokwenda nchini Korea Kusini.
Kaimu Mkurugenzi wa Masoko Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Philip Chitaunga (kushoto) akimkabidhi nyaraka za kutangaza utalii Skauti Mkuu, Mwantumu Mahiza ambaye ataongoza ujumbe wa chama cha skauti Tanzania huko Korea ya Kusini. Kulia ni Kamishina Mkuu wa Skauti, Abdulkarim Shah.

Mskauti Mkuu, Mwantumu Mahiza ambaye ataongoza ujumbe wa chama cha skauti Tanzania huko Korea ya Kusini akizungumza katika hafla hiyo.

Skauti wakiimba nyimbo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad