HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 31, 2016

LOWASSA, MBOWE, NAPE USO KWA USO JIJINI DAR LEO

Waziri Mkuu Mstaafu na Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa akiteta jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye wakati walipokutana kwenye shughuli ya kuaga Mwili wa Aliekuwa Mpiga Picha Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima, Marehemu Joseph Senga, iliyofanyika katika Uwanja wa TP, Sinza Uzuri, Jijini Dar es salaam leo. Kukutana kwa Wanasiasa hawa Maarufu nchini kunadhihilisha kwa jamii kuwa Marehemu Joseph Senga alikuwa ni mtu wa watu na waina zote.
Waziri Mkuu Mstaafu na Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa akimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye walipokuwa wakizungumza wakati walipokutana kwenye shughuli ya kuaga Mwili wa Aliekuwa Mpiga Picha Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima, Marehemu Joseph Senga, iliyofanyika katika Uwanja wa TP, Sinza Uzuri, Jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Mmoja wa Wanachama wa Chadema, Hamis Mngeja.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akizungumzia na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe wakati walipokutana kwenye shughuli ya kuaga Mwili wa Aliekuwa Mpiga Picha Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima, Marehemu Joseph Senga, iliyofanyika katika Uwanja wa TP, Sinza Uzuri, Jijini Dar es salaam leo. Kukutana kwa Wanasiasa hawa Maarufu nchini kunadhihilisha kwa jamii kuwa Marehemu Joseph Senga alikuwa ni mtu wa watu na waina zote.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad