Meneja Mwakilishi wa Kupatana.Com, Makusaro Tesha akizungumza na waandishi wa habari juu huduma mpya ya Premium waliyoizindua katika maonesho ya biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu JK. Nyerere leo jijini Dar es Salaam.
Meneja Mauzo Mabango ya Huduma za Premium, Gift Joshua huduma mpya ya Premium waliyoizindua katika maonesho ya biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu JK. Nyerere leo jijini Dar es Salaam.
TANZANIA ni nchi inayokuwa katika teknolojia ya mawasiliano katika kurahisha kutoa huduma mbalimbali kwa wananchi.
Akizungumza na waandishi habari katika maonesho ya biashara ya kimataifa yanayofanyika katika viwanja v ya Mwalimu Julius Kambarage nyerere, Meneja Mwakilishi wa Kupatana.Com.
MakusarO Tesha amesema kuwa wananchi wanaweza kutangaza biashara katika kutumia mtandao.
Amesema Kupatana.com imeanzisha huduma ambayo Premium ambayo kwa wale watu wanaotaka kutangaza biashara kwa haraka na kuweza kupata wateja mara moja.
Makusaro amesema Kupatana .com ni mtandao wenye soko kubwa nchini kwa kuendesha huduma za kimtandao kwa wananchi kuendesha biashara mbalimbali ya yenye watu milioni 24.7 wanaotembelea.
Amesema kuwa mauzo yanayofanywa katika mtandao huo kwa siku ni zaidi ya vitu 80,000 hali hiyo inaonyesha watanzania wanakwenda na teknolojia.

Napenda kuwashilikisha ndugu zangu kwenye kampuni ya 4corner inausika na uzaji wa vitabu vya ujasiliamali na kujitengenezea kipato pia kupitia ununuzi wa hivyo vitabu. kampuni inakupa ww fulsa ya kuwekeza kiasi cha sh 39000 tu na kuzalisha mamilioni ya pesa na malipo ya kila mwisho wa mwezi kuanzia million 100 kila mwezi najua unaweza usiamini but nikweli kilakitu kinawezekana na kwa maelekezo zaidi ya hii biashara ya kutajilika kwa muda mfupi usisite kuwasiliana na mm kwa no ya simu 0712114230 my email davidjoshua2050@gmail.cm naimani hakuna mtu anaependa kuishi bila ya mfanikio ya kipesa na inawezekana kufanikiwa kutengeneza pesa kupitia hi kampuni na kwenda kuanzisha biashara zako nyingine unazo utamani kufanya mbazo kwa sasa mtaji ndio unakukwamisha.narudia tena tengeneza pesa kwa mtaji wa 39000 tu nakzalisha mamillion ya pesa ukiwa bado umeajilia au unasoma hata kwawasio na kazipia nifulsakwao nzuli.asante sana kwa umakini wako mungu akubaliki sana
ReplyDeleteFaceboook natumia jina la David joshua ukipenda add me kwajili ya kupata mawasiliano ya kuhusu hi Kampuni ya four corners alliance na kwa elimu zaidi ya hi biashara
ReplyDelete