HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 30, 2016

WAZIRI WA ARDHI AKUTANA NA TAASISI NA MAKAPUNI KUFANIKISHA SHERIA YA UMILIKI WA SEHEMU ZA JENGO.


Baadhi ya wawakilishi wa taasisi na makapuni mbali mbali ya ujenzi yakiwa katika mkutano huo.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Willium Lukuvi wakati  akifungua mkutano wa Kujadili Matatizo na Ufumbuzi wa Utekelezaji wa Sheria ya Umiliki wa Sehemu za Jengo (Unit Tittle Act) iliyofanyika na wadau wa ardhi kutoka taasisi na makapuni mbali mbali ya ujenzi katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad