HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 23, 2016

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI AZUNGUMZIA MATUKIO YA KIHALIFU YALIYOTOKEA MKOA WA KUSINI PEMBA.

 Kamishna  wa Jeshi la  Polisi Zanzibar, Hamdani Omary Makame, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari(hawapo pichani)  kuhusiana na matukio ya kihalifu ya kuchoma moto nyumba, mashamba na kuharibu mazao  yaliyotokea mkoa wa Kusini Pemba. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Mkutano huo umefanyika Makao Makuu ya Polisi Zanzibar.
 Naibu  Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto),  akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari(hawapo pichani)  kuhusiana na matukio ya kihalifu ya kuchoma moto nyumba, mashamba na kuharibu mazao  yaliyotokea mkoa wa Kusini Pemba na kuahidi kuyashughulikia. Kulia ni Kamishna  wa  Polisi Zanzibar, Hamdani Omary Makame.
Makamanda wa Jeshi la Polisi na waandishi wa habari wakimsikiliza Naibu  Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni   katika mkutano   kuhusiana na matukio ya kihalifu ya kuchoma moto nyumba, mashamba na kuharibu mazao  yaliyotokea mkoa wa Kusini Pemba. (Picha Zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI- WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad