HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 27, 2016

GEPF YATOA MSAADA WA MASHUKA 100 HOSPITALI YA WAKINAMAMA NA WATOTO - META, JIJINI MBEYA

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla (katikati) akipokea msaada wa Mashuka 100 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF),  Joyce Shaidi, yaliyotolewa kwa Hospitani ya Rufaa ya Mbeya, Kitengo cha Huduma ya Wakinamama na Watoto - META, kutoka Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF). Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo, Dkt. Godlove Mbwanji.
  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla (kushoto) akipokea moja ya Maboksi ya Mashuka 100 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF),  Joyce Shaidi, yaliyotolewa kwa Hospitani ya Rufaa ya Mbeya, Kitengo cha Huduma ya Wakinamama na Watoto - META, yaliyotolewa na Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF). 
  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla (wa pili kushoto) akikabidhi Mashuka hayo kwa Uongozi wa Hospitali hiyo baada ya kukabidhiwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF),  Joyce Shaidi, yaliyotolewa kwa Hospitani ya Rufaa ya Mbeya, Kitengo cha Huduma ya Wakinamama na Watoto - META.
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akizungumza machache wakati akitoa shukrani zake kwa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF), kwa msaada walioutoa kwa Hospitani ya Rufaa ya Mbeya, Kitengo cha Huduma ya Wakinamama na Watoto - META. Kulia walioketi ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo, Daud Msangi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad