HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 30, 2016

WANAFUNZI WA KENTON HIGH SCHOOL WATEMBELEWA NA MISS TANAZANIA USA PAGEANT.


Picha ya pamoja.
Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara akiongea na wanafunzi wa Kenton High School ya Tabata jijini Dar es Salaam siku alipotembelea shuleni hapo katika moja ya majukumu yake ya kuhudumia jumuiya.
Miss Tanzania USA Aeesha Kamara akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wawili anaowadhamini kwa kuwasomesha shuleni hapo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad