Shoti ya Umeme iliyo jitokeza katikati ya Benki ya Azania iliyopo Mtaa wa Samora iliwaacha watu Midomo wazi mara baada ya kutokea kwa Mlipuko Mkubwa ambao Chanzo chake hakikuweza kufahamika...
Moshi Mkubwa ulionekana kutanda Njee ya Benki iyo ya Azania iliyopo Mtaa wa Samora Jijini Dar es salaam.
Waya wa Umeme ulionekana kuendelea kuwaka Moto.
@Kamerayamtaakwamtaablog.
No comments:
Post a Comment