Mkurugenzi Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi Bw. Micky Kiliba (kushoto) akijibu maswali ya waandishi wa habari kwenye kikao kilichofanyika Idara ya Habari - MAELEZO mapema leo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Florence Temba (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano uliofanyika Idara ya Habari - MAELEZO mapema leo.Waandishi wa habari wakifuatilia mada.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi Bi. Veila Shoo (kulia) akijibu maswali ya waandishi wa habari kwenye kikao kilichofanyika Idara ya Habari - MAELEZO mapema leo.
No comments:
Post a Comment