HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 25, 2016

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA OMAN NCHINI TANZANIA LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Saud Ali Mohamed Al-ruqaishi, wakati Balozi Saud alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Mei 25,2016 kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Saud Ali Mohamed Al-ruqaishi, wakati Balozi Saud alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Mei 25,2016 kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini. 
(Picha na OMR).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad