HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 26, 2016

KIDONGO MWANANA KUTOKA KIGOGO MTO MSIMBAZI JIJINI DAR ES SALAAM....

Katika Pita Pita za Mtaa Kwa Mtaa Leo kuhakikisha Libeneke lako la Mtaa Kwa Mtaa Blog lina Tiwa Ndimu ya kutosha, Lilifanikiwa Kuzinasa Taswira Kutoka Katika Bonde la Msimbazi lililopo Kigogo Jijini Dar es salaam na kushuhudia Jinsi hali ilivyo kuwa ni Rafiki na Pendwa haswa kwa Wakazi wanao Lizunguka Eneo hilo.
Watoto wa Mtaa huo wakiwa katika harakati za Kuokoteza Baadhi ya vitu Vinono Wanavyo Vipenda kama ambavyo walivyo Naswa na Kamera Yetu.
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad