HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 25, 2016

DK.KONDO APONGEZA JITIHADA ZA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KATIKA KUJENGA UMOJA.


Wndishi wa habari wakimsikiliza Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) wa Chama Cha Mapinduzi Kanali Mstaafu Dkt. Haruni Kondo leo jijini Dar es Salaam.
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) wa Chama Cha Mapinduzi   Kanali Mstaafu Dkt. Haruni Kondo akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya  harakati ya Serikali ya awamu ya Tano ya  Rais  Dk. John Pombe Magufuli,  katika jitihada alizofanya za kujenga nchi na kuleta maendeleo kwa  watanzania bila kujali tofauti zetu za kiitikadi, rangi na jinsia watanzania hivyo  tumuombe Mungu ampe afya nguvu ujasiri hekima na busara katika mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad