HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 17, 2016

BREAKING NYUZZZZZ......: Shule ya sekondari ya wasichana ya Ilala Islamic yateketea kwa moto usiku huu

Shule ya sekondari ya wasichana ya Ilala Islamic iliopo kwenye Msikiti wa Taqwa Ilala Bungoni jijini Dar es salaam, inateketea kwa moto usiku huu. Chanzo cha moto huo hakijaweza fahamika mara moja na jitihada za kuuzima moto huo zinaendelea.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad