Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi Cheti cha Ushiriki Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika wakati wa kilele cha Maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi yanaondelea mkoani Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika, akikionesha cheti cha ushiriki wakati wa Maonyesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi, yanaondelea mkoani Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika, akimkabidhi fulana mmoja wa wananchi waliotembelea banda la SSRA, wakati wa maonesho hayo.
Baadhi ya wananchi waliotembelea banda la SSRA, wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano wa SSRA, Bw. Ally Masaninga katika maonesho hayo.
Afisa
wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA)
Bw. Athuman Juma akitoa maelezo kwa wananchi , kuhusu shughuli
mbalimbali zinazofanywa na Mamkala hiyo, wakati wa Maonesho ya Siku ya
Usalama na Afya Mahala pa kazi.
Mwakilishi
kutoka mgodi wa North Mara, Fatuma Msumi alipotembelea banda la SSRA
katika maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi mkoani Dodom.
Afisa
Uhusiano na Uhamasiahaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta
ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bw. Ally Masaninga akifafanua jambo kwa moja
wa wadau waliohudhuria Maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa
Kazi yanayofanyika mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment