HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 30, 2016

DAWASCO YATOA MSAADA KWA BI. ASHA CHANDE RAMADHANI

Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es salaam (Dawasco), Bernadetha Mkandya (wa pili kushoto) akimpatia mkono wa pole, Bi. Asha Chande Ramadhani aliyepata ulemavu mguu wakati akiwa katika harakati ya kutafuta maji na kukutana watu wasiojulikana waliomvamia na kumsabishia ulemavu wa mgu. Dawasco imemkabidhi Mama huyo hundi ya Sh. Milioni 2.5 pamoja na Mchele, Maharage, Unga wa Mahindi na Sukari. Wengine pichani ni sehemu ya Wafanyakazi wa Dawasco waliomtembelea Mama huyo, nyumbani kwake Mwananyamala, Jijini Dar es salaam.
Sehemu ya wafanyakazi wa Dawasco waliofika nyumbani hapo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad