HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 1, 2016

KUKU FOODS EAST AFRICA (KFEA) WAPEWA TUZO YA MGAWAHA BORA WA KFC AFRICA.


 KUKU Foods East Africa Holdings Ltd (Washirika wa KFC Afrika Mashariki) wamepewa tuzo ya kuwa mgahawa bora wa mwaka kwenye mkutano wa 2016 wa uongozi uliofanyika mjini Capetown Afrika ya kusini.

Katika hotuba yake ,Mkurugenzi Mtendaji wa KFC Afrika, Doug Smart alisema KFEA imepata tuzo kwa mafanikio walio yaonyesha kwenye utekelezaji mzuri wa mipango ya kibiashara na kukamilisha malengo ya 2015,  ukuaji mkubwa wa biashara za watu , migahawa mipya na ya kisasa  na maoni mazuri kutoka kwa wateja kuhusu bidhaa zetu  na uzoefu uliopo kwenye bara hili katika tafiti za stoo kubwa. Tafiti na: Guest Experience Survey (GES

Tuzo za mgawaha bora wa mwaka  zinatolewa kila mwaka kwenda kwa mgahawa unaostahili kwa kufuata vigezo vya migahawa, nia ya ushirikiano, uwezo na kutoa huduma bora kwa mteja, uongozi mzuri, ubunifu na mauzo yakinifu, ujenzi wa  migahawa mipya ya KFC na ubora wa migahawa iliyopo kati ya michache.

Mbali na kupata tuzo ya mgahawa bora wa mwaka, KFEA pia imechaguliwa kama Mwendelezaji wa mwaka “developer of the year” pamoja na ‘People grower of the year’ yote yakiwa ni mafanikio makubwa kwa pamoja.


KFEA ni mgahawa wa kwanza Afrika ya kusini kupata Tuzo hii. Kwa mwaka huu KFEA inatazamia kupanua wigo wake kwa kuenea sehemu mbali mbali kwa kufungua matawi mengine 9. Sasa ule usemi wa full kujichana umetimia. “its finger lickin’ good.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad